Wednesday, October 2, 2013

ROST YA NYAMA

karibu tena kwenye jiko na mapishi na tunajifunza kupiki lost ya nyama.
Viongo  vya kutumia
  • Nyama   1kg
  • Nyanya   2kubwa
  • Pilipili hoho  1kubwa
  • karoti    1kubwa
  • Thomu iliyo sagwa    1 kijiko cha chai
  • Tangawizi iliyo sagwa  1kijiko cha chai
  • Chumvi     kiasi
  • Kitunguu maji  1kikubwa
  • Royco    packiti moja
JINSI YA KUPIKA ROST YA NYAMA
  1. chukua nyama yako ikatekate vipande unavyo itaji,na uioshe iwe safi.
  2. kisha iweke tangawizi ambayo umesha isaga  changanya na iweke chumvi kiasi na uibandike jikoni ,usubili mpaka iive vizuri ,na uiipue ikiwa imeiva.
  3. Bandika sufuria  na uweke mafuta kiasi,na yakipata moto weka vitunguu vyako vikaange mpaka vibadilike  rangi na uweke hoho na karoti  navyo vichanganye
  4. kisha chukua nyanya  nazo zitie kwenye ule mchanganyiko woko, koroga nyanya  baada ya muda kidogo weka thomu zako nazo zichanganye  na ile rost yako ya nyanya
  5. baada ya muda kidogo weka nyama yako na uikaange na ile lost  ya nyanya, subili kwa muda kidogo  kisha weka ile supu ambayo ulichemshia nyama  ichanganye  na isubili hadi maji yakauke kidogo kisha weka royco nayo ichanganye  kisha isubili na ukionja chumvi kama imekolea ,na hapo lost lako litakuwa tayali kwakuliwa  na chakula chochote.

14 comments:

  1. Leo ntajaribu kupika na kufuata maelekezo yako hope ntapika zaidi yako

    ReplyDelete
  2. imesaidia sanaa nashukuru
    ila picha ibadirishwe yenye muonekano mzuri

    ReplyDelete
  3. Mbona cjaona royco ilipotumika???

    ReplyDelete
  4. Soma tena ukishaweka supu subir supu ipungue ndio royco inafuata

    ReplyDelete
  5. Ahsante tajaribu kupika hivyo leo

    ReplyDelete
  6. Casinos in the UK - How to find good games - GrizzGo
    So, what https://septcasino.com/review/merit-casino/ do we mean by “casinos in gri-go.com the UK”? to worrione.com find https://febcasino.com/review/merit-casino/ a gri-go.com casino and live casino games on a mobile phone device in 2021.

    ReplyDelete